Congcong
Huwezi kusikiliza tena

Msichana Mchina atamba mtihani wa taifa Tanzania

Msichana kutoka China ameibuka wa pili kwa ubora katika matokeo ya mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta).

Mwandishi wa BBC Esther Namuhisa alizungumza naye na kuandaa taarifa hii.