Haba
Huwezi kusikiliza tena

Klabu shuleni zachangia kukabili rushwa Tanzania?

Nchini Tanzania rushwa inatazamwa kama kitu cha kawaida kiasi kwa mujibu wa ripoti ya shirika la Twaweza ya mwaka 2014.

Uanzishwaji wa klabu za wapinga rushwa katika shule za msingi ulitazamwa kama mapinduzi katika historia ya vita ya mapambano dhidi ya rushwa katika nchini Tanzania.

Je, klabu za wapinga rushwa shuleni zinaweza kusaidia vipi mapambano dhidi ya rushwa?