CCM
Huwezi kusikiliza tena

Wafuasi wa CCM washerehekea Zanzibar

Wafuasi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamekuwa wakisherehekea katika barabara za mji wa Unguja baada Dkt Ali Mohammed Shein kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa marudio. Chama kikuu cha upinzani Chama cha Wananchi (CUF) kilisusia uchaguzi huo.