Vanessa Mdee mwanamuzki wa kizazi kipya kutoka Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Vanessa Mdee: Muziki umenitoa mbali

Je waijua siri ya mafanikio ya mwanamuziki wa kizazi kipya Vanessa Mdee,ambaye amepata mafanikio baada ya kujizolea tuzo kadhaa za kimataifa?.Yeye anasema muziki ni safari,kama alivyozungumzana na Mwandishi wa BBC Leonard Mubali ambapo anaeleza alikotoka na aendako katika safari yake kimuziki.