Kerro
Huwezi kusikiliza tena

Kerro anayewafaa vijana kimuziki DR Congo

Mshindi wa tuzo ya mwana muziki bora nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Kapita Hussein maarufu kama Pappy Kerro ameanzisha kampeni ya kukuza vipaji na talanta miongoni mwa vijana na kukabiliana na maovu hasa ubakaji wa wanawake.

Mwandishi wetu Byobe Malenga alizungumza na mwanamuziki huyo mjini Bukavu.