Cece
Huwezi kusikiliza tena

Utambulisho: Uafrika na nywele asilia

The Salon ni msururu wa mazungumzo na wanawake kutoka maeneo mbalimbali duniani kuhusu utambulisho na muonekano, katika kiti cha kusukwa nywele.

Cece kutoka Cameroon anamfafanulia msusi Pearl eneo la London Mashariki ni kwa nini anataka mtindo wake wa kusukwa nywele uoneshe ulimwengu Uafrika wake. Lakini ana mtazamo tofauti kuhusu nywele asilia.