Maria
Huwezi kusikiliza tena

Changamoto wanazokumbana nazo makahaba DR Congo

Ukahaba ni marufuku katika nchi nyingi duniani lakini nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo makahaba wametambuliwa na hata hupokea huduma kutoka kwa idara ya afya.

Mwandishi wa BBC mashariki mwa nchi hiyo Byobe Malenga, alikutana na mmoja wao ajulikanaye kama Bi maria na kufanya mazungumzo naye.

Kwanza akamuuliza ni nini haswa kilichomsukuma kujiingiza katika kazi hiyo.