Nyweli
Huwezi kusikiliza tena

Upandikizaji wa nywele wavuma Kenya

Kama ilivyo kwa afya na ujana, watu wengi hudharau nywele zao hadi zinapoanza kukatika.

Na hilo linapotokea, mtu hubaki kuungulika kimya kimya, mara nyingi kuishia kubadili mitindo ya nywele kuziba kipara kinachojitokeza.

Sasa nchini Kenya, kuna mtindo mpya ambapo, wanawake zaidi, wanatafuta suluhu ya tatizo la kukatika nywele zao kwa kufanyiwa upandikizaji.

Maryam Dodo Abdalla ametuandalia taarifa hii kutoka Nairobi.