Kigamboni
Huwezi kusikiliza tena

Daraja la kisasa kuzinduliwa Kigamboni

Rais Joseph Pombe Magufuli wa Tanzania atafungua daraja la Kigamboni hapo kesho.

Daraja hilo litaunganisha eneo la Kigamboni na mji wa Dar es Salaam.

Ujenzi wa daraja hilo umegharimu zaidi dola milioni 140.

Daraja la Kigamboni linatarajiwa kurahisisha usafiri na uchukuzi jijini humo.

Daraja hilo ndilo daraja refu zaidi Afrika Mashariki linalobeba uzito kwa nyaya.