Wario
Huwezi kusikiliza tena

Kenya yakaribia kutimiza masharti ya Wada

Hatimaye Kenya imekaribia kutimiza masharti ya shirika la kukabiliana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli duniani, WADA, baada ya bunge la nchi hiyo kupitisha mswada wa kukabiliana na matumizi ya dawa zilizopigwa marufuku kwenye michezo.

Mwandishi wa BBC Abdinoor Aden alizungumza na Waziri wa Michezo Hassan Wario.