Githu
Huwezi kusikiliza tena

Kenya yataka ICC itoe stakabadhi kuhusu washukiwa

Serikali ya Kenya imeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa kivita (ICC) kuwasilisha stakabadhi zote za uchunguzi zinazowahusu Wwakenya watatu wanaotuhumiwa kuhujumu mashahidi wa kesi za jinai zilizowakabili Wakenya sita.

Mwanasheria mkuu wa Kenya Githu Muigai amesema kuwa mahakama za kenya zina uwezo wa kuendesha mashtaka dhidi ya walter Barasa, Paul Gicheru na Philip Kipkoech Bett, ambao wanahitajika na mahakama ya ICC.