Katongole
Huwezi kusikiliza tena

Msanii Uganda atumia picha kumtakia heri Malkia

Wakati Malkia Elizabeth wa Uingereza akisherehekea miaka 90 ya kuzaliwa, siku hii imewagusa baadhi ya watu barani Afrika.

Miongoni mwao ni mchoraji Ali Katongolekutoka nchini Uganda ambaye amechora picha za kumtakia Malkia heri.

Mwandishi wa BBC Siraj kalyango alizungumza naye na kuandaa taarifa hii.