Kinshasa
Huwezi kusikiliza tena

Waliosomea chuoni waungana kujikimu Kinshasa

Baadhi ya vijana waliosomea teknolojia ya ufundi mjini Kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wamejiunga kwa pamoja kutengeneza vyombo vya kielektroniki kama simu, kompyuta, redio, televisheni, na vinginevyo ili kujipatia ajira.

Tatizo la uhaba wa ajira kutoka serikalini ndio chanzo kilichowapelekea kufanya jitihada hizo ili kazi yao ipewe uzito.

Mbelechi Msoshi aarifu zaidi