Museveni
Huwezi kusikiliza tena

Bomba la mafuta ya Uganda kupitia Tanzania

Uamuzi wa Uganda kuendelea na ujenzi wa bomba la mafuta kupitia Tanzania, na sio Kenya, ni jambo ambalo lilitazamiwa kuzidisha mianya iliyokuwepo katika ushirikiano wa mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Awali ilidhaniwa ilikuwa ni wazi kwamba mataifa ya Afrika Mashariki yatatekeleza vipi usafirishaji wa mafuta kupitia bomba, mara tu kazi ya kuyafyonza kutoka Ziwa Albert itakapokamilika, na kuyafikisha katika bandari ya Lamu nchini Kenya.

Lakini mambo yalibadilika, kufuatia mkutano wa Munyonyo, nchini Uganda, kama anavyoeleza Salim Kikeke.