Papa
Huwezi kusikiliza tena

Mwili wa Papa Wemba wasubiriwa Kinshasa

Mwili wa mwanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo marehemu Papa Wemba unatarajiwa kuwasili leo mjini Kinshasa, baada ya kuagwa jana nchini Ivory Coast, mauti yalikomfika.

Anatarajiwa kuzikwa Jumanne wiki ijayo, baada ya kuagwa kwa mara ya mwisho.

Kutoka Kinshasa Mbelechi Msochi ametutumia taarifa ifuatayo, juu ya maandalizi yaliyofanywa kupokea mwili wa nguli huyo wa muziki wa Rhumba.