Tumbatu
Huwezi kusikiliza tena

Tumbatu, kisiwa kisicho na gari wala barabara

Kisiwa cha Tumbatu ni cha aina yake. Ingawa ni moja ya kisiwa kinachounda visiwa vya Zanzibar, lakini hakina umaarufu kama vile Unguka au Pemba, ambazo ni maarufu kwa utalii na karafuu. Licha ya kuwa na wakazi wapatao 20,000 kisiwa hiki hakina barabara kamili wala gari.

Na kuna wakazi, magari wanayaota kwenye TV tu.

Halima Nyanza amesafiri hadi Tumbatu na kutuandalia taarifa hii.