SaHHAra
Huwezi kusikiliza tena

Mwanamume aliyeamua kuwa mwanamke Nigeria

Kutana na Bi SaHHara, mwanamke mwenye kuegemea jinsia tofauti.

Alizaliwa na kulelewa Nigeria.

Kwa sasa anaishi London, na anazungumzia mawasiliano na familia yake baada kuamua kukumbatia nafsi yake halisi – kuwa mwanamke.