Mafuriko nchini Rwanda
Huwezi kusikiliza tena

Watu 53 wafariki na mafuriko Rwanda

Nchini Rwanda watu 53 wamefariki dunia kutokana na mafuriko makubwa, ambayo pia yameharibu miundo mbinu. Eneo lililoathirika sana ni wilaya ya Gakenke kaskazini mwa Rwanda ambako watu 35 waliuawa. Mazishi ya waliopoteza maisha yamefanyika leo. Yves Bucyana anaeleza zaidi.