Kimosop
Huwezi kusikiliza tena

Bara la Afrika linaweza kujikwamua kiuchumi?

Kongamano la 26 la Uchumi Duniani linafanyika nchini Rwanda mada kuu ikiwa Kuleta Pamoja Rasilimali za Afrika kupitia Mageuzi ya Kidijitali. Je, bara la Afrika linaweza kufaidi?

Mwandishi wa BBC Anthony Irungu amezungumza na mchanganuzi wa masuala ya kiuchumi Vincent Kimosop.