Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Kenya yashangazwa na hatua ya Wada

Siku moja tu baada ya Kamati ya utekelezaji wa kanuni za shirika la kuzuia matumizi ya dawa za kuongeza nguvu mwilini WADA kuamua kuwa sheria za Kenya dhidi ya matumizi dawa hizo, hazijatimiza kanuni za Wada, wahusika wameelezea kushangazwa na uamuzi huo na kuahidi kukata rufaa.

Abdinoor Aden amezungumza na David Were, mbunge anayesimamia kamati ya bunge kuhusu michezo na masuala ya kijamiii, ambayo ndio iliyohusika kubuni mswada wa kutimiza kanuni za WADA.