Uhaba wa sukari Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Uhaba wa sukari wakumba Tanzania

Sakata la upungufu na bei kubwa ya sukari nchini Tanzania bado linaendelea kuumiza vichwa vya watu wengi nchini humo. Mwandishi WA BBC Sammy Awami amegundua hali ni mbaya si tu katika miji mikubwa kama Dar Es Salaam, lakini hata kule ambako sukari inakozalishwa