Uganda nchi bora zaidi kuwa mkimbizi

Huku dunia inapokabiliwa na changamoto kubwa la wakimbizi, bara la Afrika halijapona tatizo hilo.

Uganda ni nchi ya nne duniani kwa kuwa na idadi kubwa ya wakimbizi, wengi wao kutokea nchini Somalia. Licha ya kuwa na wakimbizi wasiopungua laki nne, Uganda imesfiiwa na mashirika ya kimisaada ya kimataifa kwa sera zake kuhusu wakimbizi.

Mwandishi wetu Isaac Mumena amekuwa akichunguza ni kwa nini.