Ukambi
Huwezi kusikiliza tena

Umuhimu wa chanjo dhidi ya rubella

Nchini Kenya kampeni ya chanjo ya ukambi na rubella inaanza leo hii.

Wazazi wametakiwa kuwapeleka watoto wao walio umri wa na miezi 9 hadi miaka 14 katika vituo vya afya vya serikali kuanzia hii leo mpaka tarehe 24.

Dkt Sultan Matendechero ni Mkuu wa mradi wa kitengo cha magonjwa ya kitropiki yaliyopuuzwa kutoka wizara ya Afya nchini Kenya.

Anaeleza umuhimu wa chanjo hii.