Somaliland
Huwezi kusikiliza tena

Maisha baada ya ukame Somaliland

Wakulima katika jimbo la Somaliland lililojitangaza kuwa huru kutoka kwa Somalia waliathiriwa pakubwa na ukame uliodumu miezi kadha. Lakini hata baada ya mvua kuanza kunyesha, baadhi hawakupata nafuu. Mwandishi wa BBC Ken Mungai alitembelea jimbo hilo na kuandaa taarifa hii.