Ukulima wa kakao Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Changamoto za wakulima wa kakao Tanzania

Asilimia tisini na tisa ya kakao ya Tanzania, hulimwa kwa njia asili, bila matumizi yoyote ya virutubisho vya kisasa. Matumizi ya kakao yanaongezeka duniani huku Afrika Magharibi, ambao huzalisha zaidi, ikipata changamoto katika zao hilo, na huenda Tanzania ikanufaika. Hata hivyo wakulima nchini Tanzania bado wanakabiliwa na changamoto kadhaa. Mwandishi wetu Leonard Mubali ametembelea eneo linalozalisha kakao zaidi nchini Tanzania.