Maandamano ya ghasia kenya
Huwezi kusikiliza tena

Uchunguzi waanza kufuatia ghasia nchini Kenya

Uchunguzi wa polisi umeanza, kufuatia ghasia kubwa kutokea nchini Kenya.Polisi waliovalia vifaa vya kudhibiti ghasia waliwakabili waandamanaji wanaotaka mabadiliko kwenye Tume ya uchaguzi kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika mwakani. Mkuu wa Polisi ametoa maagizo hayo baada ya maafisa wa polisi kunaswa kwenye picha za video wakiwapiga vibaya waandamanaji mjini Nairobi. Abdinoor Aden ana maelezo zaidi