kanisa
Huwezi kusikiliza tena

Kanisa la DRC lasherehekea kuzaliwa kwa Yesu

Kanisa la Kimbaguiste katika Jahmuri Kidemokrasia ya Kongo limesherekea kuzaliwa kwa yesu Kristo tofauti na makanisa ya Kikristo.

Kanisa hilo ni miongini mwa makanisa inchini humo yaliokuwa na wafuasi wengi baada ya kanisa la Protestani na Katoliki, la kushangaza ni kwamba kanisa hilo husherehekea kuzaliwa kwa yesu mnamo tarehe ishirini na tano ya mwezi wa Mei badala ya tarehe 25 mwezi Disemba.