Zanzibar
Huwezi kusikiliza tena

Wazee kupokea marupurupu kila mwezi Zanzibar

Visiwa vya Zanzibar, Tanzania vimeanzisha mpango wa kuwatunza wazee kwa kuwapa dola tisa kila mwezi wazee wote walio na umri wa zaidi ya miaka 70.

Ni mpango wa aina yake Afrika Mashariki na Kati kwa maana ya serikali pekee kuchukua jukumu la kudhamini mpango mzima.

Sammi Awammy alikuwepo kisiwani humo na kutuandalia taarifa ifuatayo.