Muhammad ali
Huwezi kusikiliza tena

Raia wa DRC wamuenzi Muhammad Ali

Taifa la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ambalo ndio mechi ya ''Rumble in the Jungle'' ilipochezwa kati ya bondia Muhammad Ali dhidi ya George Foreman hawakusazwa kwani hata nao walipokea habari za kifo cha Ali kwa mshangao mkubwa.