Madoka: Mkenya aliyemkaribisha Ali Nairobi

Madoka: Mkenya aliyemkaribisha Ali Nairobi

Meja Mstaafu Mardsen Madoka ndiye aliyepanga ziara ya bondia bingwa mara tatu duniani Muhammad Ali mwaka wa 1980 .

Akizungumza na mwandishi wetu John Nene, Meja Madoka anakumbuka harakati za bondia huyo nyota za kuzishawishi mataifa za Afrika Kususia michezo ya olimpiki ya Moscow kufuatia uvamizi wa Urusi kwa nchi jirani ya Afghanistan.

Madoka anasema bingwa huyo alipanga safari ya mabondia wakenya kuzuru Marekani .

Safari aliyogharamia kila kitu.