Nafasi ya raia katika kukabili rushwa Tanzania

Nafasi ya raia katika kukabili rushwa Tanzania

Utafiti uliofanywa na shirika la Transparency International hivi karibuni unasema katika nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki, Rwanda imefanya vyema katika kupambana na rushwa ikishikilia nafasi ya 55, ikifuatiwa na Tanzania katika nafasi ya 119, na Uganda ni ya tatu katika nafasi ya 142.

Kenya ni ya nne katika nafasi ya 145 na Burundi inashika mkia katika jumuiya ya Afrika Mashariki ikiwa katika nafasi ya 159 duniani.

Leo tunahoji nini nafasi ya mwananchi katika kupambana na rushwa?

Ni kipindi cha mdahalo kilichofanyika katika wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga