Cheza
Huwezi kusikiliza tena

Juhudi za kufufua michezo ya kale shuleni

Kwa kizazi hiki cha kompyuta, watoto ni nadra kucheza michezo ambayo wazazi, babu na bibi zao wameipitia.

Lakini nchini Uganda, kundi moja linafanya juhudi kurudisha mchezo wa kizamani ujulikanao kama Dodge Ball, ama rede au Kati kwa jina jingine.

Wameamua kuupeleka shuleni mchezo huu.

Tumukunde Simon Peter ni mmoja wa waandaaji wa mchezo huo.