Abdul
Huwezi kusikiliza tena

Patashika hatua ya muondoano Euro 2016

Michuano ya Euro inaingia kwenye hatua ya 16 bora.

Kuna patashika nguo kuchanika, lakini kubwa ni marudio ya waliokutana kwenye fainali ya michuano iliyopita, kati ya Uhispania na Italia.

Abdul Van Mohamed anayaangazia zaidi.