Maua
Huwezi kusikiliza tena

Kenya itaathirika Uingereza kujitoa EU?

Kitendawili cha iwapo Uingereza itajitoa ndani ya umoja wa Ulaya kwa sasa kimeteguliwa, lakini linapokuja suala la bishara Afrika, mustakabali wa nini kitafuata baada ya kujitoa kwake bado haujulikani.

Pamoja na historia ndefu ya uhusiano wa kiuchumi na kiutamaduni, Kenya ni miongoni mwa nchi zinazoweza kuathirika kibiashara, kutokana na kujitoa kwa Uingereza ndani ya muungano wa Ulaya.