Je umefaidika vipi na rasilimali za TZ ?

Je umefaidika vipi na rasilimali za TZ ?

Tanzania ni miongoni mwa nchi chache duniani zilizojaliwa kuwa na rasilimali nyingi. Je unaelewa nini juu ya mgawanyo wa rasilimali za taifa?