Kampuni ya habari ya Nation yafunga vituo vyake

Kampuni ya habari ya Nation yafunga vituo vyake

Kampuni kubwa zaidi ya Habari Afrika mashariki, Nation Media Group, imeamua kufunga baadhi ya vituo vyake.

Hatua hiyo itashuhudia idadi kubwa zaidi ya watu kupoteza kazi zao.

Katika taarifa iliyopokelewa nchini Kenya, NMG kama inavyofahamika, imeamua kufunga vituo kadhaa vya Radio kama vile Nation FM, QFM na KFM iliyoko Kigali nchini Rwanda.

Mwandihsi wa BBC Odeo Sirari, alizungumza na mchambuzi wa vyombo vya habari nchini Kenya Luke Mulunda.