Uhasama wa Ethiopia na Eritrea

Uhasama wa Ethiopia na Eritrea

Maelfu ya watu walifariki Ethiopia na Eritrea zilipopigana vita kutokana na mzozo mpakani 1998-2000. Sasa, uhasama umeanza kuongezeka tena. Eritrea ilisherehekea miaka 25 ya uhuru wake kutoka kwa Ethiopia majuzi.

Mwandishi wa BBC kuhusu Usalama anayeangazia Afrika Tomi Oladipo anachanganua.