Polisi aua wenzake saba Kapenguria, Kenya

Polisi aua wenzake saba Kapenguria, Kenya

Mtu mwenye silaha aliyeshambulia maafisa wa polisi katika kituo cha polisi cha Kapenguria, kaskazini magharibi mwa Kenya ni afisa wa polisi, taarifa zinasema.

Ripoti za awali mapema leo ziliarifu kuwa mshukiwa wa kundi la kigaidi la al- Shabab aliyekuwa anazuiliwa katika kituo hicho alimnyang'anya bunduki afisa aliyekuwa akitoa ulinzi na kuwamiminia risasi na kuwaua maafisa wanne.

Abdinoor Aden na maelezo zaidi.