Aliyeondoka Sudan Kusini asimulia hali ilivyokuwa

Aliyeondoka Sudan Kusini asimulia hali ilivyokuwa

Wakenya kadhaa waliokwama Sudan kusini wakati wa vita vilivyozuka wiki iliyopita hatimaye wamepata nafasi ya kurejea nyumbani.