Video: Watu 84 wauawa shambulio la lori Nice, Ufaransa

Video: Watu 84 wauawa shambulio la lori Nice, Ufaransa

Watu takriban 84 wameuawa eneo la Nice, kusini mwa Ufaransa baada ya dereva wa lori kulivurumisha na kuwakanyaga watu waliokuwa wakisherehekea Sikukuu ya Bastille. Dereva huyo baadaye ameuawa kwa kupigwa risasi.

Kwa hisani ya Richard Gutjahr/ ARD.