Madini ya Floraidi katika mwili

Madini ya Floraidi katika mwili

Je unadhani ni kwanini baadhi ya watu katika maeneo ya Bonde la Ufa na yale ya kaskazini mwa Tanzania, meno yao ni ya rangi ya kahawia?

Wiki hii Tanzania imekuwa mwenyeji wa Maadhimisho ya 6 ya Wiki ya Maji barani Afrika na Mkutano wa 10 wa Baraza la Mawaziri wa Maji wa Nchi za Afrika.

Maadhimisho hayo yanaambatana na Maonesho ya Shughuli za Wadau wa Sekta ya Maji. Moja ya mabanda yaliyowavutia wengi ni Banda la Utafiti wa Kupunguza madini ya Floraidi katika maji ya kunywa.

Sikiliza Mahojiano kati ya Anorld Kayanda na Godfrey Mkongo Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Floraidi kilichopo Ngurdoto Arusha Tanzania, ambaye kwanza anaelezea kwanini banda lao lilikuwa na mvuto.