Sticlab
Huwezi kusikiliza tena

Teknolojia ya kupiga chapa 3D yabadili mambo Tanzania

Teknolojia ya kutengeneza vitu halisi kwa kupiga chapa, maarufu kama ‘3D printing’ inabadilisha jinsi nchi zilizoendelea zinavyozalisha vitu kama nguo,vifaa mbali mbali na hata nguo bandia.

Hamu ya watu kutaka kutumia teknolojia hii inakua kwa kasi kikubwa hasa katika nchi za Ulaya na Marekani Kaskazini na baadhi ya nchi za Afrika hazijaachwa nyuma.

Moja ya nchi hizi ni Tanzania ambapo teknolojia hii inarahisisha mambo na hasa masomo.

Mwandishi wa BBC Tulanana Bohela ametembelea cha kiwanda cha Sticlab na kukutana na kikundi cha wabunifu wanaotumia teknolojia hii.

Mada zinazohusiana