Matumaini ya Tanzania Olimpiki Rio

Matumaini ya Tanzania Olimpiki Rio

Katika michezo ya Olimpiki, wanamichezo wa Tanzania, wameshiriki mara kumi na tatu toka kushirki mara ya kwanza, lakini mara hizo zote wameambulia kutwaa medali mbili tu.

Mwandishi wetu Omary Mkambara anaangazia matumaini ya wawakilishi wa Tanzania katika michezo hiyo inayoendelea huko Rio Brazil na hii ni taarifa yake.