Mwamuzi mwanamke Olimpiki Rio anayetoka Malawi
Mwamuzi mwanamke Olimpiki Rio anayetoka Malawi
Bernadettar Kwimbira ni mwamuzi mashuhuri wa kike kutoka Malawi na yupo Rio akisimamia Michezo ya Olimpiki Rio.
Ni mmoja wa wanawake wa Afrika unaofaa kuwafahamu.