Israel Saria: EPL imeanza tena, lakini nani ataibuka mbabe?

Israel Saria: EPL imeanza tena, lakini nani ataibuka mbabe?

Msimu mpya wa Ligi kuu ya England unaanza, huku ushindani mkali ukitarajiwa, kutokana na sura mpya za mameneja mashuhuri na pia baadhi ya vilabu kununua wachezaji wenye majina makubwa.

Peter Musembi anazungumza na mchambuzi Israel Saria kuhusu matazamio ya Ligi hiyo.