Julius Yego, mwanamichezo aliyejijenga kupitia YouTube

Julius Yego, ambaye ni bingwa wa dunia wa urushaji mkuki mwa IAAF mwaka 2015, ni mwanamichezo aliyejijenga kupitia YouTube.

Ni mmoja wa wanamichezo wanaotarajiwa kufanya vyema katika Michezo ya Olimpiki mjini Rio de Janeiro, Brazil.

Alizungumza na BBC awali.