Rio 2016: Takwimu muhimu kuhusu michezo ya Olimpiki

Michael Phelps, Usain Bolt na Simone Biles Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Michael Phelps, Usain Bolt na Simone Biles kwa pamoja walishinda dhahabu 12

Mwenge wa Michezo ya Olimpiki ya Rio ulizimwa Jumapili, na kufikisha kikomo siku 16 za michezo na mashindano ya kusisimua.

Wanamichezo 10,000, waliowakilisha mataifa 207, walishiriki katika michezo 31 nchini Brazil na kushindania nishani 306.

Rekodi zilivunjwa, historia ikaandikwa, magwiji wakabainika na nyota wapya wakazaliwa.

Hizi hapa ni takwimu muhimu kutoka kwa michezo hiyo:

Marekani bado inaongoza

Miamba wa aina moja ya mchezo ...

Wachezaji watatu waliotawala ...

Bolt avuma tena ...

Rekodi zilizovunjwa

Kuvuma...

Maelezo zaidi kuhusu taarifa hii