Mwanariadha wa Nigeria aliyesherehekea ushindi kwa mbwembwe

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Onye akirusha tufe

Mwanariadha wa Nigeria Lauritta Onye alionyesha mbwe mbwe zisizo za kawaida, kwanza baada ya kushinda dhahabu katika urushaji Tufe ikiwa ndiyo dhahabu wa kwanza kwa Nigeria katika mashindano hayo ya walemavu, na pili ni kuhusu jinsi alivyosherehekea ushindi wake.

Haki miliki ya picha Getty Images
Image caption Mbwembwe za Onye za kusherehekea

Picha zake zimekuwa kwenye mitandao kufuatia ushindi wake katika miongoni mwa wanariadha wafupi. Alirusha tufe umbalia wa mita 8.40 na kuvunja rekodi ya dunia.

Baada ya mashindano kukamilika Onye anaanza kusherehekea

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Mbwembwe za Onye akisherehekea
Haki miliki ya picha PA
Image caption Mbwembwe za Onye akisherehekea

Onye alisherehekea ushindi pamoja na wanariadha wengine akiwemo Rima Abdelli wa Tunisia ambaye alishinda fedha na Lara Baars wa uholanzi ambaye alishinda shaba.

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Akisherehekea na Lara Baars wa uholanzi ambaye alishinda shaba
Haki miliki ya picha PA
Image caption Akisherehekea na Rima Abdelli wa Tunisia ambaye alishinda fedha