Leicester City washinda mechi Ligi ya Mabingwa Ulaya

Islam Slimani scores for Leicester Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Islam Slimani amefunga mabao matatu kwa kichwa mechi zake tatu alizochezea Leicester

Leicester walicharaza Porto bao moja kwa bila mechi yao ya kwanza nyumbani katika Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya na kuendeleza mwanzo wao mwema katika dimba michuano hiyo mikuu ya Ulaya.

Islam Slimani, ambaye ana sifa nzuri ya kuwafunga Porto alipokuwa akichezea Sporting Lisbon, alifunga bao lake kwa kichwa dakika ya 25 kutokana na krosi ya Riyad Mahrez.

Nguvu mpya wa Porto Jesus Corona alifunga mlingoti kwa kombora lake lakini Leicester walikwamilia uongozi wao na wakaondoka na ushindi.

Slimani alinunuliwa na Leicester £29m siku ya mwisho sokoni. Ana sifa za kuwahangaisha Porto akiwa Sporting Lisbon hivi kwamba alikuwa amepewa jina la utani "the Dragon Slayer" (Mwuaji wa Zimwi)

Leicester wanaongoza Kundi F wakiwa alama mbili mbele ya FC Copenhagen walio nambari mbili.

Klabu hizo mbili zitakutana tarehe 18 Oktoba.

Leicester walioshangaza wengi kwa kushinda ligi kuu Uingereza msimu uliopita, wameanza vibaya msimu Ligi ya Premia, ambapo wameshindwa mechi tatu kati ya sita walizocheza kufikia sasa. Walifungwa mabao manne na Liverpool na Manchester United.

Yet the template that brought success last season - a deep, solid backline and pacey counter-attacks - was once again employed with success at a raucous King Power Stadium.

After seeing his side leak three goals to corners at Old Trafford on Saturday, Leicester boss Claudio Ranieri preferred Luis Hernandez to Danny Simpson at right-back, but it was centre-halves Wes Morgan and Robert Huth who impressed.

At the other end, Mahrez caused trouble on the right in the first half, Vardy explored the channels and Slimani barely stopped running.

Porto pressure comes too late

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Kombora la Jesus Corona dakika ya 83 lilimgonga Marc Albrighton kisha likagonga mwamba

Jumapili, watakutana na Southampton ligini.