Dereva wa finland ashinda Eldoret Rally
Huwezi kusikiliza tena

Dereva kutoka Finland, Tapio Laukannen, aibuka mshindi wa Eldoret Rally

Dereva kutoka Finland, Tapio Laukannen, ameibuka mshindi wa Eldoret Rally, ukiwa ndio mkondo wa sita wa mashindano ya kitaifa ya magari nchini Kenya. Huo ndio ushindi wa nne wa Laukannen msimu huu na wa pili mfululizo wa Eldoret Rally........John Nene alikuwa huko na hii hapa ripoti yake